- Anthony Petro, aligundua baba yake Petro Magogwa, alikuwa kwenye mipango ya kuuza kipande chao cha ardhi
- Alisema kuuza shamba sio hatua njema lakini pia baba yake alikuwa akikabiliwa na matatizo ya kifedhas
Mtoto wa miaka 10 nchini Tanzania ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza amechukua hatua ya kumpeleka baba yake mzazi polisi, baada ya kugundua alikuwa na mipango ya kuliuza shamba lao.
Habari Nyingine: Idara ya hali ya anga yatoa orodha ya maeneo 25 yatakayoathiriwa na mafuriko, Nairobi
TUKO.co.ke imeng’amua kuwa, mzee huyo wa miaka 67 kwa jina Petro Magogwa, alikuwa katika harakati za kuliuza shamba hilo wakati mwanawe Anthony Petro alipomgundua na hatimaye kwenda katika Kituo cha Polisi Ngara, mkoani Kagera.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Habari Nyingine:Babu Owino azungumzia "ulevi" wa Mbunge Moses Kuria
Kulingana na gazeti moja la nchini Tanzania, The Citizen, Petro, ambaye ni mwanafunzi katika Shule ya Ndugusi, alipatwa na wasiwasi kuwa, hatua ya baba yake kuuza shamba ingewaacha bila arhi.
Kwingineko, baba ametoroka nyumbani baada ya kukosa karo ya mwanawe mvulana.
Habari Nyingine:Mjane wa jambazi sugu - Matheri - ageuka pasta na kusimulia maisha yake ya uhalifu
Isaac Oloserian Pelo kutooka kijiji cha Oiti village, Naivasha, alipata alama 406 kati ya 500 katika Mtihani wake wa Darasa la Nane (KCPE) 2017 na alitarajiwa kujiunga na Shuel ya Upili ya Moi Kabarak, lakini baba yake alikosa pesa hizo na kwa masikitiko makubwa akatoweka nyumbani
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4V2fJRmpK2npKR6uK2MpqCao5FifnF5wKaxrqGRYq%2BirsBmoq6tqpZ6tLTAppmaZZuseqzBz6KemmWinr2wwMhmorCZXaW8rbXSomWhrJ2h